Tuesday, April 15, 2014

SNURA ALEWA PENZI LA DVJ HUNTER.



Snura Mushi na Dvj Hunter wa Club Maisha Ya Mjini Mbeya wakiwa katika Poz la maha..!Kwa mujibu wa mtu wa karibu aliozinasa picha hizo zilizopigwa huko mkoni Mbeya alisisitiza kwamba jina lake lisitajwe humu mtandaoni, Pia alizidi kufunguka kwamba kabla hajakwanyua picha hizo alibahatika kusikia maneno ya Snura kama ifuatavyo:

Mimi kwa huyu jamaa sina ujanja na kamwe sitosikia la mtu ng'o! Mmmh.. Penda sana Hunter...!
Jamaa aliishia hapo akasema alikuwa anapita tu!

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...