Tuesday, August 12, 2014

HUDDAH MONROE NA PICHA ZAKE ZA UTUPU INSTAGRAM

MREMBO kutoka nchini Kenya Huddah Monroe, ameendelea kutupia picha zake za 'utupu' kupitia mtandao wa Instagram kama kawaida yake.



Staa huyo ambaye kwa sasa yupo Abuja nchini Nigeria ametupia picha zake akijiachia na mavazi ya kuogelea huku nyingine akiwa na mwenzake.


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...